VIDEO:TAZAMA WANAJESHI WA MPAKANI WALIVYOWASILI NA NDINGA YAO KWA MKAPA

MASTAA wa Biashara United leo Oktoba 13 walikuwa na kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya Al Ahly Tripol ya Libya unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 15, Uwanja wa Mkapa. 

Wanajeshi hao wa mpakani waliwasili namna hii Uwanja wa Mkapa na ndinga yao. 

 



Comments

Popular posts from this blog

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

KOCHA BIASHARA UNITED: WACHEZAJI NIMEWAPA KAZI YA KUPAMBANA NA JEZI YA NJANO

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI