BIASHARA UNITED YAWAVUTIA KASI AL AHLY TRIPOLI

 


WANAJESHI wa mpakani, Biashara United,  leo Oktoba 13 wameendelea kuwavutia kasi wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.


Itakuwa ni Oktoba 15, Ijumaa dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa nchini Libya.


Wachezaji wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Miongoni mwa mastaa ambao walikuwepo mazoezini leo ni pamoja na Redondo, kipa namba moja James Ssetuba, Duchu.


Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Biashara United,  Seleman Mataso amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya.



Comments

Popular posts from this blog

ISHU YA MORRISON KUHUSU MKATABA WAKE IPO MIKONONI MWA KAMATI YA SHERIA NA HADHI ZA WACHEZAJI

BREAKING: MASHABIKI RUKSA KWENDA UWANJANI, UTARATIBU WATAJWA

AFRICAN LYON WADAI KUWA WAZO LA VISIT TANZANIA NA LOGO MPYA YA SIMBA IMETOKA KWAO