ZIDANE ANAWEZA KUIBUKIA UFARANSA


ZINEDINE Zidane aliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid imeelezwa kuwa huenda akawa Kocha Mkuu wa  Ufaransa.

Timu ya taifa ya Ufaransa inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Deschamps amekiongoza kikosi hicho kuenguliwa kwenye hatua ya 16 bora ya Euro 2020.

Ufaransa iliondolewa kwenye Euro 2020 kwa penalti 5-4 dhidi ya Uswisi baada ya dk 90 ubao kuwa 3-3.

Timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi ya kutwaa taji hilo lililokuwa mikononi mwa Ureno ambayo nayo pia ilitolewa.




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA KUBADILI KIKOSI MBELE YA TP MAZEMBE AMBAO WATABADILI MFUMO KESHO

SIMBA YAJIFUA LEO SUMBAWANGA KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI