BREAKING: WAPINZANI WA SIMBA ROBO FAINALI NI KAIZER CHIEFS


 DROO ya hatua ya robo fainali imepangwa leo Aprili 30 nchini Misri ambapo tayari wawakilishi wa Tanzania, Simba wametambua watakutana na timu ipi.

Ni Kazier Chiefs FC ya Afrika Kusini ambayo itamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, raia wa Ufaransa.


Mchezo wa kwanza utachezwa nchini Afrika Kusini kati ya Mei 14 na 15.

Mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kati ya Mei 21 ama 22, Uwanja wa Mkapa.



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA KUBADILI KIKOSI MBELE YA TP MAZEMBE AMBAO WATABADILI MFUMO KESHO

SIMBA YAJIFUA LEO SUMBAWANGA KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI