VIDEO: SIMBA WAPIGA MAZOEZI KWENYE MVUA, WASHINDA MABAO 2-1

MASTAA wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes wameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena uliopo maeneo ya Bunju, jana Machi 29, walifanya mazoezi hayo licha ya mvua kunyesha na walicheza mchezo wa kujipima nguvu na Simba B ambapo Simba ilishinda mabao 2-1. 

Haya ni maandalizi kwa ajili ya mechi za kimataifa pamoja na Kombe la Shirikisho ambapo Aprili 4 itakuwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya AS Vita utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

 



Comments

Popular posts from this blog

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

KOCHA BIASHARA UNITED: WACHEZAJI NIMEWAPA KAZI YA KUPAMBANA NA JEZI YA NJANO

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI