RATIBA YA MECHI ZA YANGA LIGI KUU BARA APRILI


KIKOSI cha Yanga kina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mechi zake nne kwa mwezi Aprili baada ya leo Machi 31 ratiba kutoka.

Hizi hapa ni mechi nne za vinara wa Ligi Kuu Bara wenye pointi 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 23 namna hii:- Yanga dhidi ya KMC, Uwanja wa Mkapa itakuwa ni Aprili 10.

Yanga dhidi ya Biashara United, itakuwa ni Aprili 17, Uwanja wa Mkapa.

Yanga dhidi ya Gwambina, Aprili 20, Uwanja wa Mkapa

Yanga dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Aprili 25.



Comments

Popular posts from this blog

ISHU YA MORRISON KUHUSU MKATABA WAKE IPO MIKONONI MWA KAMATI YA SHERIA NA HADHI ZA WACHEZAJI

BREAKING: MASHABIKI RUKSA KWENDA UWANJANI, UTARATIBU WATAJWA

AFRICAN LYON WADAI KUWA WAZO LA VISIT TANZANIA NA LOGO MPYA YA SIMBA IMETOKA KWAO