ORODHA YA NCHI AMBAZO ZIMEFUZU AFCON


NCHI ambazo zimefunzu kushiriki Afcon ambayo itafanyika nchini Cameroon 2021 ambapo Tanzania imeishia hatua ya makundi kwa kukusanya pointi 7 ikiwa kundi J.

Kwa ukanda wa Afrika mashariki timu zimekwama kutusua ambapo Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi zimeishia hatua ya makundi.

Hizi hapa:- Senegal.

 Tunisia.

Algeria.

 Mali.

 Burkina Faso.

 Guinea.

 Comoros.

 Gambia.

 Gabon.

Misri.

Ghana.

 Equatorial Guinea.

 Zimbabwe.

Morocco.

Ivory Coast.

Nigeria.

 Sudan.

Malawi.

Mauritania.

 Ethiopia.

Guinea-Bissau.

Cape Verde.

Sierra Leone. 





Comments

Popular posts from this blog

SIMBA KUBADILI KIKOSI MBELE YA TP MAZEMBE AMBAO WATABADILI MFUMO KESHO

SIMBA YAJIFUA LEO SUMBAWANGA KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI