KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA KENGOLD YA MBEYA
LEO Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Cedric Kaze ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya kikosi cha Kengold ya Mbeya, Uwanja wa Uhuru.
mchezo huo ni wa hatua ya 32 bora ambapo atakayepoteza anafungashiwa virago mazima ndani ya Kombe la Shirikisho linalotetewa na watani zao wa jadi Simba.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuwanza leo Uwanja wa Uhuru namna hii:- Faroukh Shikalo
Shomari Kibwana
Yassin Mustapha
Lamine Moro
Bakari Mwamnyeto
Farid Mussa
Tuisila Kisida
Feisal Salum
Wazir Junior
Deus Kaseke
Ditram Nchimbi
Comments
Post a Comment