FT: Yanga 1-0 Ken Gold
Mpira umekamilika Uwanja wa uhuru kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Ken Gold.
Ushindi huo unaifanya Yanga isonge mbele hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho.
Dakika 90 Niyonzima anafanya jaribio jepesi linaokolewa na kipa wa Ken Gold
Dakika ya 88 Fiston anatoka anaingia anaingia Sarpong
Dakika ya 80 Carinhos anaonyeshwa kadi nyekundu
Dakika ya 79 Carinhos anampiga ngumi mchezaji wa Ken Gold
Dakika ya 78 Niyonzima anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Ken Gold
Dakika ya 70 Yanga wanapata kona inapigwa na Carinhos
Dakika ya 69 Shikalo anaokoa jaribio la Ken Gold
Dakika ya 67 Carinhos anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Ken Gold
Dakika ya 66 Carinhos anaingia anatoka Nchimbi
Dakika ya 63 Ken Gold wanapoteza nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 61 Fiston anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 59 Haruna anaingia anatoka Kaseke
Dakika ya 59 Yanga wanapata kona ya 10
Dakika ya 53 Fiston anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 50 Kaseke anaotea
Dakika ya 49 Nchimbi anamwaga majalo linaokolewa na kipa
Kipindi cha pili kimeanza
UWANJA wa Uhuru
Kombe la Shirikisho, hatua ya 32 bora
Yanga 0-1Ken Gold
Mapumziko, Uwanja wa Uhuru
Dakika 42 Gooooal Fiston
Dakika ya 40 Yanga wanapata Penalti
Dakika ya 34 Kaseke anacheza faulo akiwa ndani ya 18 eneo la Ken Gold
Dakika ya 32 Ken Gold wanapeleka mashambulizi kwa Shikhalo
Dakika ya 31 Farid Mussa anafanya shambulizi ndani ya Ken Gold ila mpira unamzidi spidi
Dakika ya 28 Kaseke anaotea
Dakika ya 23 Fiston anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Ken Gold
Dakika ya 16, Fei Toto anapaisha shuti lake akiwa nje ya 18
Dakika ya 12 Ken Gold wanakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 10 Nchimbi anakpsa nafasi ya wazi
Dakika 9 Farid Mussa anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 7 Nchimbi anapeleka mashambulizi Kengold anazuiwa
Dakika ya 4 Kengold wanapata faulo ya Kwanza haileti matunda
Dakika ya 3 Kengold wanapiga kona
Comments
Post a Comment