FT:SIMBA SUPER CUP:SIMBA 0-0 TP MAZEMBE

 


FT: Simba 0-0 TP Mazembe 
Simba inakuwa bingwa wa kwanza wa mashindano ya Simba Super Cup ambayo yalianza Januari 27, Uwanja wa Mkapa baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa.

Inakusanya jumla ya pointi nne baada ya kushinda mbele ya Al Hilal mabao 4-1 na Al Hilal ni washindi wa pili baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya TP Mazembe ambao ni washindi wa tatu.
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 90 Chikwende anapeleka mashambulizi TP Mazembe ila mwamuzi anasema amenawa
Dakika ya 88 Onyango anatolewa akiwa Kwenye machela baada ya kuchezewa faulo
Dakika ya 85 Ajibu anachukua nafasi ya Chama na Mzamiru anachukua nafasi ya Lwanga
Dakika ya 84 Mwapi anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 81 Duchu anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 61 Chama anapaisha
Dakika ya 60 Wawa anajichanganya Kwenye kuokoa Jeje anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 57 Morrison anaingia anatoka Sheva
Dakika ya 53 Chama anapiga of target akiwa nje kidogo ya lango
Dakika ya 50 Mugalu anachezewa faulo 
Dakika ya 49 Chama anagongesha mwamba shuti
Kipindi cha pili kimeanza 

SIMBA Super Cup 

Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha Kwanza

Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 TP Mazembe wanapata faulo

Dakika ya 43 Sheva anapaisha mpira juu kidogo ya lango ndani ya 18

Dakika ya 42 Mugalu of target anapiga kichwa ndani ya 18

Dakika ya 37 Chama anapaisha ndani ya 18

Dakika ya 36 Chama anapiga faulo inaokolewa na kipa wa Mazembe 

Dakika ya 35 Moustapha Kouyate anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 34, Luis anachezewa faulo nje kidogo ya 18 na kufanya timu zote ziwa zimecheza jumla ya faulo 7

Dakika ya 32 Chama anapiga kona haizai matunda 

Dakika ya 26 Chama anapiga shuti kali akiwa nje ya 18 linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 24 TP Mazembe wanapata faulo baada ya Kameta kumchezea faulo mchezaji wa Mazembe inapigwa na Shibangu

Dakika ya 22 Tshabalala anachezewa faulo

Dakika ya 20 Mugalu anapiga shuti linaokolewa na kipa

Dakika ya 19 Tshabalala on target kipa anapangua

Dakika ya 15 Lwanga chezewa faulo ya kwanza

Dakika ya 6 Jeje anapiga faulo haizai matunda 

Dakika ya 4 Kakolanya aliokoa hatari ndani ya 18

Dakika ya 3 Luis alipiga on target ya Kwanza iliokolewa na kipa wa TP Mazembe 

Simba 0-0 TP Mazembe



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

WAMEANZA NA MAJANGA MSIMU MPYA WA 2021/22, SIMBA WANAWEZA KUKOSA UBINGWA