FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU
FT: Simba 4-0 Ihefu
Uwanja wa Mkapa
Simba inasepa na pointi tatu muhimu na kufikisha pointi 35
Dakika ya 90+2 Mugalu anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 baada ya kumpiga chenga Munish
Zinaongezwa dk 3
Dakika ya 90 Teps Evans anaingia anatoka Simchimba
Dakika ya 83 Goal Mugalu
Dakika ya 80 Mugalu anaotea inakuwa ni mara ya 7 kwa Simba kuotea
Dakika ya 79 Luis anatoka anaingia Dilunga
Dakika ya 71 Ame anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuumia ndani ya Uwanja na akatolewa nje nafasi yake ikichukuliwa na Kameta
Dakika ya 64 Luis na Munish wanapewa huduma ya kwanzaDakika ya 63 Luis anakosa nafasi
Dakika ya 60 Chama anaotea
Dakika ya 51 Kagere anaotea
Dakika ya 49 Mahadhi anatoka anaingia Ngoah, Khamis anatoka anaingia Kinyozi
Dakika ya 48 Mahadhi anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 47 Manula anaokoa
Dakika ya 46 Bwalya anapaisha
Kipindi cha pili
KIPINDI cha kwanza
Simba 3-0 Ihefu
Uwanja wa Mkapa
Mapumziko
Dakika 2 zinaongezwa
Dakika ya 44 Mahundi kadi ya njano
Dakika ya 40 Kagere goaaaal
Dakika ya 39 Mahadhi anapiga on target inaokolewa na Manula
Dakika ya 30 Dida anaokoa hatari ya Meddie
Dakika ya 29 Luis Miquissone anafunga bao akiwa ameotea
Dakika ya 24 Kapombe anakosa nafasi ya wazi kwa pasi ya Rarry Bwalya
Dakika ya 22 Andrew Simchimba anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 20 Samweli Jackson anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 15 Kagere goal
Goal Mohamed Hussein dk 9
Asisti Shomari Kapombe
Dakika ya 6 Luis anachezewa faulo ndani ya 18
Dakika ya 4 Ihefu wanagonga pasi kwa dakika moja
Dakika ya 3 Kenedy Juma anacheza faulo
Dakika ya 1 Kapombe alimwaga maji yaliokolewa
Comments
Post a Comment