LIGI YA MABINGWA: PLATEAU UNITED 0-0 SIMBA
Uwanja wa New Jos
Ligi ya Mabingwa Afrika
Novemba 29, hatua ya awali
Kipindi cha kwanza
Plateau United 0-0 Simba
Dakika ya 39, Dilunga anachezewa faulo
Dakika ya 38 Plateau wanakosa nafasi ya kuifunga Simba
Dakika ya 35 Onyango anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 34 Onyango anaokoa hatari
Dakika ya 33 Mlinda mlango wa Plateau Abubakari Adam anaokoa hatari
Dakika ya 32 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 31 Luis anaokoa hatari iliyokuwa inamfuata Manula
Dakika ya 30 Plateau wanapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 29 Onyango anaokoa hatari
Dakika ya 27 Abha Omari anapelekea mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 25 Plateu United wanarusha mpira kuelekea kwa Simba
Dakika ya 20 Manula anachezewa faulo
Dakika ya 18 Plateau wanapiga kona haileti matunda
Dakika ya 17 Luis anacheza faulo
Dakika ya 16 Jonas Mkude anachezewa faulo
Dakika ya 15 Kapombe anampa pasi Bocco
Dakika ya 13 Plateu United wanapiga kona haizai matunda
Dakika ya 10 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 7 John Bocco anafanya jaribio linakwenda nje ya uwanja
Comments
Post a Comment