FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU
FT: Simba 4-0 Ihefu Uwanja wa Mkapa Simba inasepa na pointi tatu muhimu na kufikisha pointi 35 Dakika ya 90+2 Mugalu anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 baada ya kumpiga chenga Munish Zinaongezwa dk 3 Dakika ya 90 Teps Evans anaingia anatoka Simchimba Dakika ya 83 Goal Mugalu Dakika ya 80 Mugalu anaotea inakuwa ni mara ya 7 kwa Simba kuotea Dakika ya 79 Luis anatoka anaingia Dilunga Dakika ya 71 Ame anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuumia ndani ya Uwanja na akatolewa nje nafasi yake ikichukuliwa na Kameta Dakika ya 64 Luis na Munish wanapewa huduma ya kwanza Dakika ya 63 Luis anakosa nafasi Dakika ya 60 Chama anaotea Dakika ya 51 Kagere anaotea Dakika ya 49 Mahadhi anatoka anaingia Ngoah, Khamis anatoka anaingia Kinyozi Dakika ya 48 Mahadhi anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 47 Manula anaokoa Dakika ya 46 Bwalya anapaisha Kipindi cha pili KIPINDI cha kwanza Simba 3-0 Ihefu Uwanja wa Mkapa Mapumziko Dakika 2 zi...
Comments
Post a Comment