NAMNA SIMBA ILIVYOTWAA NGAO YA JAMII MARA NNE MFULULIZO
Namna Simba ilivyosepa na Ngao ya Jamii mara nne mfululizo:-
2017/18
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda mbele ya Yanga.
2018/19
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya Mtibwa Sugar
2019/20
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Azam FC
2020/21
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Namungo FC.
Comments
Post a Comment