JEMBE LA KAZI YANGA LAANZA SAFARI KUJA BONGO

 



MCHEZAJI mpya wa Yanga ambaye ni mshambuliaji kutoka Burkina Faso, anatarajiwa kutua kesho Agosti 31 ameanza leo safari ili kuibuka ndani ya ardhi ya Tanzania.

Yacouba Sogne yeye ni mshambuliaji ambaya ilipaswa awasili nchini Agosti 27 ila kutokana na kubadilisha ratiba ya ndege alikwama kusafiri na mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kumpokea na kuambulia patupu.

Leo Agosti 30 atakosa tamasha la Mwananchi ndani ya Uwanja wa Mkapa ambalo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji wapya pamoja na jezi mpya za Yanga kwa msimu wa 2020/21. 


Comments

Popular posts from this blog

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

KOCHA BIASHARA UNITED: WACHEZAJI NIMEWAPA KAZI YA KUPAMBANA NA JEZI YA NJANO

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI