BREAKING:HASSAN KESSY ASAINI MTIBWA SUGAR

 


NYOTA Hassan Khamis Ramadhan Kessy, beki wa kulia amesajiliwa na Mtibwa Sugar akitokea kwa Mabingwa wa  Ligi Kuu ya Zambia msimu 2019/2020 Nkana Red Devils.

Kessy alikuwa kwenye rada za Yanga ambao walishindwana naye kwenye masuala ya makubalino jambo lililomfanya aibukie ndani ya Mtibwa Sugar akiwa ni mchezaji huru.

Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kutumika ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar wenye maskani yao Morogoro.




Comments

Popular posts from this blog

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

KOCHA BIASHARA UNITED: WACHEZAJI NIMEWAPA KAZI YA KUPAMBANA NA JEZI YA NJANO

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI