KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI
HIKI ndicho kikosi cha kwanza cha mkongwe ndani ya Klabu ya Yanga anayekipiga pia ndani ya timu ya Taifa ya Tanzania Kelvin Yondani.
Naye pia anaamini anastahili kuwa ndani ya kikosi hichi kutokana na uwezo wake, amewavuta wawili kutoka Simba namna hii:-
Kipa-Metacha Mnata wa Yang.
Beki wa kulia-Juma Abdul wa Yanga.
Beki wa kushoto-Mohamed Hussein wa Simba.
Beki wa kati-Bakari Mwamnyeto wa Coastal Union.
Beki wa kati-Kelvin Yondan wa Yanga.
Kiungo mkabaji-Papy Tshishimbi wa Yanga.
Winga wa kulia-Mapinduzi Balama wa Yanga.
Kiungo wa Kati- Haruna Niyonzima wa Yanga.
Mshambuliaji-Ditram Nchimbi wa Yanga.
Mshambuliaji-John Bocco wa Simba.
Winga wa kushoto-Bernard Morrison wa Yanga.
Comments
Post a Comment