HIVI HAPA VIGONGO 10 VYA RUVU SHOOTING


IKIWA imecheza mechi 28 Ruvu Shooting inayobebwa na serea ya 'Kupapasa Square' ipo nafasi ya 11 na kibindoni ina pointi 39.

Imebakiza mechi zake 10 kukamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2019/20 hizi hapa za Ruvu Shooting:-Simba SC

KMC

Ndanda

Namungo

Kagera Sugar

Biashara United

Mwadui FC

Singida United

Lipuli

Mtibwa Sugar


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA KUBADILI KIKOSI MBELE YA TP MAZEMBE AMBAO WATABADILI MFUMO KESHO

SIMBA YAJIFUA LEO SUMBAWANGA KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI