AZAM FC IPO KAMILI GADOGADO

MATAJIRI wa Dar es Salaam, Azam FC wameanza mazoezi kwa ajili ya kujiaandaa kumalizia vigongo vyao 10 ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na kutetea taji la Kombe la Shirikisho.

Azam FC ilitwaa taji hilo msimu wa 2019 kwenye fainali iliyochezwa Lindi, ilikuwa dhidi ya Lipuli FC ya Iringa.

Bao pekee la ushindi lilifungwa na Obrey Chirwa aliyeipoteza Lipuli mazima wakati huo ikiwa chini ya Seleman Matola ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Simba.

Mechi yao ya hatua ya robo fainali ndani ya Kombe la Shirikisho ni dhidi ya Simba.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa wanapo tayari kwa ajili ya ushindani hawana mashaka yoyote.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI

FT: VPL:SIMBA 4-0 IHEFU

WAMEANZA NA MAJANGA MSIMU MPYA WA 2021/22, SIMBA WANAWEZA KUKOSA UBINGWA